Loading Events

« All Events

  • This event has passed.

MAONESHO YA DODOMA YA SASA SI DODOMA YA ZAMANI

October 11, 2023 @ 8:00 am - October 15, 2023 @ 8:00 pm

Jina ni lilelile”Dodoma” na Mipaka ya Kijografia ni ile Ile.Lakini utofauti wa Kimuonekano na hatua za kimaendeleo zinazoonekana na zinazotarajiwa kuonekana Mkoani Dodoma ni kubwa mno.Hakika DODOMA YA SASA SI YA ZAMANI.Karibu Kushiriki MAONESHO haya ambayo Kiongozi wetu namba moja wa Mkoa Mteule Wa Mhe.Rais ameridhia kuyapa baraka zote Kwa Kuyafungua.Hakika #DodomaNiFahariYaWatanzania.Unafahamu nini Kuhusu Dodoma Ya Wakati ule na Ya Sasa? KARIBU UJIONEE UKWELI WA DODOMA KUWA FAHARI YA WATANZANIA

Dane Wines Tutakuwepo

Details

Start:
October 11, 2023 @ 8:00 am
End:
October 15, 2023 @ 8:00 pm

Organizer

Manyunyu TV
Phone:
0717849892
View Organizer Website

Venue

Dodoma, Tanzania
Tanzania, United Republic of + Google Map

You must be 18 years old to visit this site.

Please verify your age

- -

Open chat
Chat w/ us on WhatsApp
Thank you for visiting DANE Wines Official Website. How can we help you today?