MAONESHO YA DODOMA YA SASA SI DODOMA YA ZAMANI
Dodoma, TanzaniaJina ni lilelile"Dodoma" na Mipaka ya Kijografia ni ile Ile.Lakini utofauti wa Kimuonekano na hatua za kimaendeleo zinazoonekana na zinazotarajiwa kuonekana Mkoani Dodoma ni kubwa mno.Hakika DODOMA YA SASA SI YA ZAMANI.Karibu Kushiriki MAONESHO haya ambayo Kiongozi wetu namba moja wa Mkoa Mteule Wa Mhe.Rais ameridhia kuyapa baraka zote Kwa Kuyafungua.Hakika #DodomaNiFahariYaWatanzania.Unafahamu nini Kuhusu Dodoma
Read More