Saba Saba Trade Fair

Dar es salaam, Tanzania , Tanzania, United Republic of

Saba Saba is the Dar es Salaam 30-days International Trade Fair!

Dodoma Wine Festival

Dodoma, Tanzania , Tanzania, United Republic of

Wine Festival is a two-day event set to promote Grapes Farming, Boost Business and farmers in Dodoma.

MAONESHO YA DODOMA YA SASA SI DODOMA YA ZAMANI

Dodoma, Tanzania , Tanzania, United Republic of

Jina ni lilelile"Dodoma" na Mipaka ya Kijografia ni ile Ile.Lakini utofauti wa Kimuonekano na hatua za kimaendeleo zinazoonekana na zinazotarajiwa kuonekana Mkoani Dodoma ni kubwa mno.Hakika DODOMA YA SASA SI YA ZAMANI.Karibu Kushiriki MAONESHO haya ambayo Kiongozi wetu namba moja wa Mkoa Mteule Wa Mhe.Rais ameridhia kuyapa baraka zote Kwa Kuyafungua.Hakika #DodomaNiFahariYaWatanzania.Unafahamu nini Kuhusu Dodoma
Read More

MAONESHO YA SABA YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI – GEITA

Geita, Tanzania Geita, Tanzania, United Republic of

Wananchi wote karibuni kwenye Banda letu la Dane Wines katika Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yatakayoanza tarehe 2/10 hadi 12/10/2024 katika viwanja vya EPZ Bombambili Geita mjini.

You must be 18 years old to visit this site.

Please verify your age

- -